Vifurushi & Bei

Bei nafuu, muda unaokufaa

Vifurushi vyote ni bei kamili — hakuna gharama za ziada. Lipa kwa simu, pata vocha papo hapo kwa SMS.

Kifurushi cha Saa
TZS1,000
Masaa 12
  • Kifaa kimoja
  • Kasi kamili
  • Nzuri kwa matumizi ya haraka
Chagua
Kifurushi cha Wiki
TZS7,000
Siku 7
  • Kifaa kimoja
  • Unafaa zaidi kwa bei
  • Nzuri kwa kazi na masomo
Chagua
Kifurushi cha Mwezi
TZS25,000
Siku 30
  • Kifaa kimoja
  • Mwezi mzima wa uhakika
  • Thamani bora kwa muda mrefu
Chagua
Linganisha

Vifurushi kwa muhtasari

Kifurushi Muda Bei
Kifurushi cha SaaMasaa 12TZS 1,000
Kifurushi cha Siku · MaarufuMasaa 24TZS 2,000
Kifurushi cha WikiSiku 7TZS 7,000
Kifurushi cha MweziSiku 30TZS 25,000
Maswali Kuhusu Vifurushi

Maswali ya mara kwa mara

Kila vocha hutumika kwenye kifaa kimoja kwa wakati mmoja. Ukihitaji vifaa zaidi, nunua vocha nyingine au wasiliana nasi kwa kifurushi maalum.
Muda huanza pale unapoingia (login) na vocha yako kwa mara ya kwanza, si pale unaponunua. Hivyo unaweza kununua mapema na kutumia baadaye.
Ukimaliza muda wa kifurushi, unaweza kununua kifurushi kingine wakati wowote kwa kurudia hatua zilezile za malipo.
Unalipa kwa mitandao ya simu — M-Pesa, Tigo Pesa au Airtel Money. Baada ya kuthibitisha malipo, vocha inafika papo hapo kwa SMS.

Bado una swali?

Timu yetu ipo tayari kukusaidia kuchagua kifurushi sahihi na kutatua changamoto yoyote.

Pata Intaneti WhatsApp